header

nmb

nmb

Thursday, January 21, 2010

Mambo ya Konyagi 2009..!!

Jengo linalotumika kama duka la kuuza vinywaji vya TDL kwa watu wa jumla na rejareja "Konyagi Express Shop" lililopo mjini Arusha

Mwenyekiti wa bodi ya Tanzania Distilleries Ltd Mr. Kilewo akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa duka hilo. Anayeshuhudia katikati ni aliyekuwa meneja wa kampuni hio Mr. Suma

No comments:

Post a Comment