header

nmb

nmb

Sunday, February 16, 2014

[Wanamelemeta] Harusi ya kufana kati ya Gervas Sinsakala na Bi Olida Venance.

Bi Harusi Olida Venance

Matron Neema Mushi na Bi Harusi Olida Venance

 G auaga ukapera, picha zote kwa hisani ya mtandao wa PRHABARI

Harusi ya kufana kati ya Gervas Sinsakala na Bi Olida Venance. Iliyofanyika katika kanisa katoliki parokia ya Yombo Dovya jana tarehe 15.02.2014 na baadaye tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Mauwa Social Hall.

No comments:

Post a Comment