Ikiwa watu tisa bado wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na ujambazi uliofanywa
dhidi ya Dr. Sengondo Mvungi aliekua mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya
Katiba Mpya na kiongozi wa NCCR-Mageuzi. Dr Mvungi amerepotiwa kufaariki dunia
akiwa mahututi hospitalini nchini Afrika Kusini
No comments:
Post a Comment