DJ Rankim Ramadhan pichani juu amefariki dunia.
Taarifa
zilizoifikia Blog hii jiloni ya leo zinapasha kuwa DJ mkongwe ambaye
anaujuzi wa hali ya juu katika kupangilia muziki awapo studio na Club DJ
Rankim amefariki dunia wakati akifanyiwa upasuaji Hospitali ya
Mwananyama.
Ujumbe
wa mwisho wa Novemba 4 mwaka huu alioutoa DJ Rankim katika ukurasa wake
wa Facebook unanukuu maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Rankim Ramadhani "Madokta
wanasema ni apendix ndiyo inayonisumbua hapa sijala toka jana maumivu
tu ndiyo yananitesa tumbo na mbavu vinauma sana na ss hv nachoma
kristapen ya tatu kwa leo but theres no releaf"
No comments:
Post a Comment