Shehena ya ajabu yakamatwa kwenye bandari ya Mombasa
Kontena
ambalo lilikuwa na vitu vya nyumbani, limekamatwa likiwa na bidhaa
nyingi za ajabu kama mafuvu na vitu vingine vya kutisha ambavyo
inasemekana huwa vinatumika kwenye ibada za dini za kishetani. Mzigo huo
bado unashikiliwa na mamlaka za Kenya
No comments:
Post a Comment