Rais wa Malawi Joyce Banda avunja baraza la mawaziri
Baada
ya kurudi tu kutoka kwenye ziara ambayo ilihusisha kuhutubia kwenye
mkutano wa Umoja wa mataifa, Rais Joyce Banda amefikia uamuzi wa kuvunja
baraza lake la mawaziri. Moja ya sababu za msingi ni tuhuma
zinazotolewa juu ya matumizi mabaya ya serikali yake, japokuwa maamuzi
hayo yalivyofanywa haikutajwa sababu moja kwa moja ya kuvunja baraza
hilo.
Sikiliza hii interview na Moses Kunkuyu mmoja wa mawaziri walikuwa na
vyeo kabla ya kuvunjwa kwa baraza hilo, hapa anazungumzia baada ya
kuvunjwa baraza hilo ambapo bado haijajulikana lini litatangazwa baraza
jipya.
No comments:
Post a Comment