Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali kutoka
sehemu mbalimbali za Tanzania wanaoonyesha bidhaa zao kwenye maonesho
yanayofanyika Mnazi Mmoja.

Akinamama
wajasiriamali wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi wakati wa
ufunguzi rasmi wa maonesho hayo kwenye uwanja wa Mnazi Mmoja.
Akinamama wajasiriamali
wakisherehekea ufunguzi rasmi wa maonesho yao uliofanywa na Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete.Picha/Habari kwa hisani ya Sufiani Mafoto Blog
No comments:
Post a Comment