Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Ilala Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mganga Mkuu wa
Hospitali ya Amana Dk.Meshack Shimwela alipowasili Hospitalini hapo
kukabidhi msaada wa taa za chumba cha upasuaji kwenye Hospitalini hiyo.
Picha juu na chini Mstahiki Meya
wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akikabidhi rasmi
msaada wa taa hizo kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Amana Dk.Meshack
Shimwela kwenye hafla fupi iliyofanyika hospitalini hapo.

No comments:
Post a Comment