Mshiriki
wa Big brother the Chase Feza Kessy amefika Tanzania leo usiku saa moja
akitokea South Africa. Airport kulikuwa na mama yake mzazi,kaka
yake,mwanae,team ya Multi choice ikiongozwa na Barbara pamoja na
mashabiki wengi. Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa, picha
nyingine na video zinakujia hivi
karibuni.
picha na millardayo.com


No comments:
Post a Comment