| Bondia
Ramadhani Shauri kushoto akisaini mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO
utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 10 jijini Dar es salaam na mpinzani
wake kushoto Cosmas Cheka wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na
Makamu Mwenyekiti wa PST Aga Peter nyuma picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment