header

nmb

nmb

Thursday, July 11, 2013

Utawala mpya nchini Misri waendelea na michakato ya uundwaji wa Serikali mpya


Waziri Mkuu mpya nchini Misri, Hazem el-Beblawi


Utawala mpya nchini Misri unaendelea na michakato ya kuunda Serikali mpya huku Polisi wakimsaka Kiongozi wa Chama cha kiislamu, Muslim Brotherhood. Chama cha Muslim Brotherhood kimeitisha Maandamano siku ya ijumaa kupinga Mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Mohamed Morsi.

 Polisi hivi sasa wanamsaka Kiongozi wa juu wa Chama hicho, Mohamed Badie baada ya amri kutolewa siku ya jumatano, akishutumiwa kuchochea machafuko jijini Cairo.

No comments:

Post a Comment