Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani – DCP Mohammed Mpinga akikabidhi cheti kwa mhitimu Mwanamke
aliyehitimu mafunzo ya Elimu ya Usalama
Barabarani yaliyotolewa kwa madereva wa Bodaboda Dsm na Kikosi cha Usalama
Barbarani kwa kushirikiana na AAT (Automobile
Association of Tanzania) kwa ufadhili wa chama cha mashindano ya Magari Duniani
(FIA) wakati ufugaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika Gongolamboto 10/07/2013. Anayeangalia
ni Rais wa AAT Mr Nizan Jivan.
No comments:
Post a Comment