Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'
kushoto akipambana na Iddy Mnyeke wakati wa mazoezi yanayoendelea
katika Kambi ya Ilala Amana CCM mabondia hawo wanafanya mazoezi kwa
ajili ya mashindano yao yatakayo fanyika baada ya kumarizika mwezi
mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D
| Bondia Iddy Mnyeke akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kamba ya Amana CCM Dar es salaam mabondia hawo watapanda ulingoni kuwakabili wapinzani wao baada ya kwisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani Picha na BLOG YA SUPER D |
No comments:
Post a Comment