MREMBO
aliyejulikana kwa jina la Pepetua Maina au maarufu kama Lucy, Mkikuyu
wa Kenya anayekadiriwa kuwa na miaka 25 mpaka 30 amekutwa amekufa kwa
kuchinjwa shingo na mwili wake kutupwa katika shimo la taka. Mwili huo
ulikutwa na polisi Juni 8, mwaka huu Mikocheni B, jirani kabisa na
makazi ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna
Suleiman Kova.
Mwili wa Pepetua baada ya kufunikwa. |
Taarifa
za kipolisi zilidai kuwa mrembo huyo kabla ya kuchinjwa alipigwa kwani
mkono mmoja wa kushoto ulivunjika na kukutwa na jeraha kubwa katika paji
la uso.
Mwili wa Pepetua ukitolewa shimoni na polisi. |
Mwili wa Pepetua baada ya kutolewa shimoni. |
Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari. |
No comments:
Post a Comment