![]() |
![]() |
Wadau mbali mbali wa muziki hapa nchini wapo ndani ya ukumbi huu hivi sasa kusuhudia show hii ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki. |

![]() |
Lady J Dee anatoa burudani ya kutosha kwa mashabiki. |
![]() |
![]() |
Lady J Dee anatoa burudani ya kutosha kwa mashabiki. |
![]() |
Sugu na Mkoloni wanatoa burudani kali kwa mashabiki. |
![]() |
Mama mzazi wa Lady J Dee naye amekuja kushuhudia show ya mwanae. |
![]() |
Juma Nature anatoa burudani kwa mashabiki |
No comments:
Post a Comment