-Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan
akionyeshwa aina mbali mbali za Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini
na Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Passpoti na Ukaazi Haji Hamza
Khamis wakati wa Ziara ya kutembelea Taasisi za Muungano zilizopo
Zanzibar [Picha na Ali Meja]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan
akionyeshwa Vibali vya Ukaazi Nchini na Mkuu wa Kitengo cha kuzalishia
Passpot na Ukaazi Haji Hamza wakati wa Ziara ya kutembelea taasisi za
Muungano ziliopo Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Muungano Samia Suluhu Hassan
akionyeshwa aina mbali mbali za Passpoti ambazo zinatumika hapa Nchini
na Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji Passpoti na Ukaazi Haji Hamza
Khamis wakati wa Ziara ya kutembelea Taasisi za Muungano zilizopo
Zanzibar [Picha na Ali Meja]
No comments:
Post a Comment