header

nmb

nmb

Monday, April 8, 2013

Tovuti mpya ya elimu yazinduliwa..

tovuti hiyo ni www.shuledirect.co.tz itakuwa inatoa msaada kielimu na issue zote zinazohusiana na elimu pamoja na changamoto zake imeanzishwa na aliewahi kuwa Miss Tanzania 2004 Faraja Kota Nyarandu
Faraja kota akitoa maelezo kuhusiana na matumizi ya website hiyo ambayo imezingatia mfumo wa mutaala wa ufundishaji kwa olevel
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo mlugo alikuwepo kuzindua website hiyo kama inavo onekana kwenye picha
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi huo tovuti hiyo

No comments:

Post a Comment