header

nmb

nmb

Monday, April 8, 2013

Mwaka mmoja wa kumbukumbu ya marehemu Steven Kanumba

 MUONEKANO WA KABURI LAKE JANA
 
baadhi ya wasanii wenzake walikuwepo katika kumbukumbu hiyo kwenye kaburi lake





Mama yake mzazi akiweka shada la maua




Muigizaji Lulu Michael pamoja na mama yake mzazi pia walikuwepo





Lulu kwa huzuni akiweka shada la maua

No comments:

Post a Comment