Mwenyekiti wa chama cha NCCR mageuzi na mbunge wa kuteuliwa Mh James Mbatia
----
Mwenyekiti wa chama cha NCCR mageuzi na mbunge wa kuteuliwa Mh James Mbatia ameendelea kusimamia msimamo wake kuwa haoni sababu za kuwepo katika tume iliyoundwa na waziri mkuu kuchunguza anguko kubwa la wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne na badala yake amemwandikia rais Jakaya Kikwete kumshauri aunde kamisheni ya elimu ili kubaini uozo uliopo katika sekta ya elimu nchini.
* Chanzo ITV
No comments:
Post a Comment