header

nmb

nmb

Tuesday, March 26, 2013

KAJALA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 8 JELA AU AFAINI ALIPIWA FAINI ATOKA

 

 Msanii wa filamu, Kajala Masanja akiwapungia mkono ndugu, jamaa na watu waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, ambapo kesi yake ilitolewa hukumu ya kwenda jela miaka 8 au kulipa faini ya sh. milioni 13. Kajala ambaye alilipiwa faini hiyo, alikuwa anakabiliwa na makosa ya kula njama, kuamisha umiliki wa nyumba iliyokuwa imezuiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali isiuzwe. (Picha na Francis Dande)
 Kajala akiwa na ndugu zake.
 Kajala akitoka mahabusu kabla ya kusomewa hukumu yake leo.
  Msanii wa Filamu Mahsin Awadh akiwa na msanii mwenzake Elizaberth Michael 'Lulu'

No comments:

Post a Comment