Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wa mkoa wa jiji la Mbeya wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo ya wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa wiki.
|
Baadhi ya wajasiriamali na wateja wa NMB wakimsikiliza Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani kwenye mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wa NMB jijini mbeya
|
Meneja wa kanda Lucresia Makiriye akizungumza wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
No comments:
Post a Comment