header

nmb

nmb

Tuesday, March 26, 2013

AJALI IRINGA CHANZO NI UBOVU WA BARABARA ZA TANROADS MKOA WA IRINGA

kama  walivyoingia ?
 gari  hili lenye namba  T 940 DJQ lililokuwa likiendeshwa na Gervas Sanga  limegonjwa eneo la National mjini Iringa katika barabara ya Iringa -Dodoma chanzo ni mashimo yaliyopo eneo hilo ambayo yamesababishwa na usimamizi mbovu wa TANROADS mkoa  wa Iringa
 
 
 Chanzo ni mashimo haya  ambayo Tanroads mkoa  wa Iringa  wanayatazama bila  kuchukua hatua  za kuziba
 
 
 katika ajali  hii hakuna aliyepoteza maisha

No comments:

Post a Comment