Mtoto Ahmed Bakari ambae anaulemavu wa akili na ambae alieshinda
Mashindano ya Watoto wenye Ulemavu wa Akili katika mbio za Mita 400 na
kunyakua Medali ya Dhahabu katika mashindano hayo ya Dunia yaliofanyika
huko Athens Ugiriki.akisimama mbele ya Baraza la Wawakilishi la
Zanzibar.na kusalimia Wajumbe hao.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk
akiwasilisha Hotuba ya Makadirio Mapato na Matumizi ya Wizara hio huko
katika Baraza la Wawaklilishi la Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mifugo,Uwezeshaji,Habari na Utalii Asha Bakari
akitoa taarifa ya Kamati hio kuhusu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii
na Michezo huko katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa
Zanzibar.
Baadhi
ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la
Wawakilishi wakisikiliza Michangio mbalimbali ya Wajumbe wa Baraza
hilo huko mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment