Mwanamuziki
mashuhuri nchini Uganda, Jose Chameleone akiwa nje ya jengo la ubalozi
wa Tanzania nchini Uganda, na mabango sambasamba na wapambe wake
akishinikiza apatiwe hati yake ya kusafiria ambayo anadai inashikiliwa
na Erick Shigongo. Picha zingine ni maandamano hayo.
No comments:
Post a Comment