Keki ya Spika Anne Makinda
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Wakiwa na Keki ya Spika Anne Makinda Muda mfupi kabla ya kumkabidhi
Spika Anne Makinda akipokea keki kwa furaha kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge Mjini Dodoma leo.
Spika wa Bungbe Anne Makinda akikata keki kusherekea siku yake ya
kuzaliwa leo mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa ofisi ya bunge mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge Anne Makinda akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya
wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake
ya kuzaliwa
Spika
wa Bunge Anne Makinda akimlisha keki mmoja kati ya wafanyakazi wa
ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa
Spika wa Bungbe Anne Makinda akipongezwa na baadhi ya wafanyakazi wa
ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya
kuzaliwa.Picha Zote na Prospect Minja-BUNGE
No comments:
Post a Comment