header

nmb

nmb

Thursday, June 14, 2012

MASTAA AZAM FC WAKITANUA VIFUA KATIKA GYM LA KISASA CHAMAZI

Asubuhi ya leo, BIN ZUBEIRY ilitembelea kambi ya Azam FC, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuwakuta wachezaji wa timu hiyo, itakayoiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwakani wakijifua kwa mazoezi ya kujenga miili chini ya makocha wao, Waingereza, Stewart Hall na Msaidizi wake, Kalimangonga Sam Daniel Ongala kwenye gym kali na ya kisasa ya klabu hiyo, iliyopo ndani ya Uwanja wao, Chamazi. Cheki picha hizo.

Kocha Stewart akiinua nondo
Add caption
Luckson Kakolaki
Kipre Tchetche
Said Mourad
Gaudence Mwaikimba
Zahor Pazi
Odhiambo Blackberry
Kipre Balou
Kutoka kushoto, Ibrahim Shikanda, Himid Mao na Ibrahim Mwaipopo
Kutoka kulia Jabir Aziz, Ramadhan Chombo na ...
Kali Ongala akimuelekeza Ibrahim Mwaipopo, kushoto ni Mao. Chanzo; Bin Zubeiry Blog

No comments:

Post a Comment