

Waziri wa Elimu ya juu na mafunzo ya ufundi Dr Shukuru Kawambwa akitoa Pongezi kwa Kampuni ya Konyagi kwa Kufanikisha Kombew la Mbunge Jimbo la Bagamoyo kwa miaka 6 .

Mwenyekiti wa Kamati ya Kombe la Mbunge akisoma hutuba ya Mafanikio ambapo alisema kutokana na kombe hilo tangu lianze jumla ya Vijana 20 wamefanikiwa kutawanyika sehemu mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi kucheza soka na wengine kujipatia ofa za masomo kutokana na kuonekana vipaji vyao ktk kombe hilo

Waziri,kushoto, Meneja wa Masoko wa Konyagi,Joseph Chibehe na Bolizozo wakiteta jambo wakati wa ghafla hiyo

Waziri Kawambwa akitoa zawadi kwa meneja wa masoko wa Konyagi kama kutambuamchango wa kampuni hiyo kwa kufanikisha mashindano ha


Bena mamashuguriiiiiii

Mambo baadaye yalinoga ukumbini
Matha naye alikuwapo
No comments:
Post a Comment