header

nmb

nmb

Wednesday, February 8, 2012

WAFANYABIASHARA SOKO LA SOWETO MBEYA WAGOMA KUPANDISHIWA USHURU SASA WAJIANDAA KUANDAMANA MPAKA KWA MKURUGENZI WA JIJI ,WAMTAKA MBUNGE WAO SUGU AJE !!
Baadhi ya wafanya biashara soko la soweto jijini mbeya wakiwa katika makundi makundi kujiandaa kwa maandamano kupinga ongezeko la ushuru wa soko toka sh 200 na kuwa sh 300 kwani wanadai ongezeko hilo nikubwa na hawaelewi pesa inakwenda wapi maana soko ni chafu mazingira ya kufanyia biashara hayafai

Baadhi ya vijana wakijiandaa kuchoma matairi

Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la soweto wakipeana mikakati ya mgomo huoWateja wakiwa wanashangaa na hawajui la kufanya maana hakuna kinachouzwa sokoni hapo

No comments:

Post a Comment