header

nmb

nmb

Wednesday, February 8, 2012

Hepiiiiiiiiiii,Bathideiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bi.Isha,Mashauziiiiiiiiiiiiiiiii

Isha alisheherekea kwa aina yake kutimiza miaka 30 tangu kuzaliwa, sherehe hiyo bab' kubwa ilifanyika nyumbani kwake maeneo ya Ananasif , kinondoni , jijini Dar es Salaam. Isha ambaye ni Msanii wa muziki wa Taarabui alisema anajisikia furaha sana na anamshukuru mungu,na wapenzi mwake wote .

No comments:

Post a Comment