header

nmb

nmb

Friday, January 27, 2012

WANAFUNZI WAANDAMANA DAR BAADA YA WENZAO KUGONGWA NA MAGARI



Wanafunzi wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni,Dar es Salaam, wakiandamana leo katika Barabara ya Kawawa, kuishinikiza Wakala wa Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani, kufuatia wenzao wawili kugongwa na magari kunakosababishwa na mwendo kasi katika eneo hilo. (PICHA NA HAMISI MAGENDELA)

No comments:

Post a Comment