header

nmb

nmb

Tuesday, January 24, 2012TUKISEMA MAISHA BORA BADO KWA KILA MBONGO BADO TUNAONEKANA TUNA BEZA, HAYA SASA ONAHIIMAITI YABEBWA KWENYE PIKIPIKI BUKOBA.Hali yakusikitisha mkoani Kagera maiti zinapo bebwa ktk pikipiki kama mzigo wa mahindi hii ni kutokana na ukosefu wa gari ya kubeba wagongwa na ukata wa maisha mjini Bukoba.
Maeneo mengi ya nchi yako huvi isipokuwa hayajapatikana picha zake
Jamaa kachoka kwa mwendo wa safari anapumua kideogo kabla ya kuendelea na safari yake kupileka mwili wa mama Batamula Ishengoma aliye fariki katika kijiji cha kanyigo.

No comments:

Post a Comment