header

nmb

nmb

Friday, January 6, 2012

RAIS KIKWETE AWAAPISHA VIONGOZI WAPYA WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC).

Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Msatafu Damian Lobuva leo jijini Dar es Salaam kuwa Mkwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo. (Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo)
Picha ya pamoja ya Rais Jakaya kikwete, Makamu wa Rais Dr, Bilal pamoja na viongozi wakuu wa mahakama na Tume ya Uchaguzi.Baada ya kuwaapisha.

No comments:

Post a Comment