header

nmb

nmb

Friday, January 6, 2012

BASI LA TAQWA LAPATA AJALIHabari zilizotufika hivi punde ni kwambabasi la Taqwa limepata ajali.

Hapa likiwa limelala baada ya abiria wote kutoka.

Lilikuwa linafanya safari zake kutoka Dar kwenda Kigali Rwanda.

Majeruhi kibao Habari nyingine Baadae.

No comments:

Post a Comment