header

nmb

nmb

Monday, January 16, 2012

OMBAOMBA JIJINI WANA TIA ..............Kijana mdogo akiwa anabembeleza apewe kitu kidogo kwa madai hajala toka asubuhi, suala ni kama watu wa haki za watoto wanaliona hili na kulifanyia kazi, maana nnavyoelewa si haki za watoto wa majumbani tu kwani hata huyu ni mtoto, wazazi wake wamekaa pembeni wanamtuma akakusanye ili wapate kuishi, sasa style hii inalea ombaomba jiji DSM.zaiei tembelea immamatukio.blogspot.com

No comments:

Post a Comment