header

nmb

nmb

Tuesday, January 17, 2012

Mambo yanapo kuwa magumi Majibu huwa Hivi.Nimecheeeeeka sanaaa. Hebu kumbuka hiii!!

FOLENI YA MAGARI DAR NI ISHARA YA MAENDELEO:JK


wenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete


Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Pius Msekwa


Aliyekuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mwantumu Mahiza


Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba


"KILA MTU ATABEBA MSALABA WAKE MWENYEWE";MSUYAWaziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya

WASSIRA AWAJIBU WANAHABARI MNAULIZA KUHUSU MVUA KWANI MIMI NI WAZIRI WA MVUA?

Aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula, Stephen Wassira

"KAMA MKISHINDWA KULIPA NAULI MPYA YA KIVUKO, PIGENI MBIZI";MAGUFULI
Mh Magufuri

Zaidi tembeleabyZaidi tembeleaby
,Zaidi tembelea by

No comments:

Post a Comment