header

nmb

nmb

Wednesday, January 25, 2012

Mafunzo ya makocha wa ngumi kimataifa yamalizika Kibaha!!

Baadhi ya makocha wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja
baada ya kukabidhiwa vyeti vyao wakati wa mafunzo ya kimataifa ya chezo huo yaliyomalizika Kibaha Mkoa wa Pwani Jana.(Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com)Mkufuzi Mkuu wa Makocha wa ngumi toka Chama cha Mchezo wa Ngumi za Ridhaa Duniani Joseph Diouf (kulia) akimkabidhi cheti cha kufuzu ya ukocha wa mchezo wa ngumi Kimataifa , Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa ufungaji wa mafunzi hayo yaliyofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani
katikati ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini Makore Mashaga

No comments:

Post a Comment