header

nmb

nmb

Wednesday, January 18, 2012

BILIONI 22.8 KUENDELEZA KILIMO TANZANIA,RWANDA NA BURUNDI









Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi wa Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang Tembon(kulia) wakisaini hati ya msaada makubaliano ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na utasimamiwa na Benki ya Dunia

No comments:

Post a Comment