Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Tim Clarke kuhusu Msimamo wa Tanzania na wa Umoja wa Ulaya Kwenye Mkutano ujao wa Mabadiliko ya Tabianchi Utakaofanyika Durban Afrika ya Kusini Unatarajiwa kufanyika Tarehe 28\Novembe hadi Tr 9 Desemba 2011[Picha na Ali Meja}
No comments:
Post a Comment