
Wazee mbalimbali wa chama na wastaafu wamekusanyika katika ukumbi huo ili kusikiliza na ambapo mambo mbalimbali watakayoambiwa,ili nao pia waweze kufikisha ujumbe kwa wanzao ambao hawajapata nafasi ya kuhudhuria katika mkutano huo na wananchi kwa ujumla


No comments:
Post a Comment