Mkurugenzi Mkuu wa Kapuni ya TDL.(Konyagi) Bw.David Mngwasa (katikati) akishuhudia utoaji wa zawadi wakati wa fainari za kombe hilo.Wapili kulia ni Mbunge wa Bagamoyo ambaye pia ni Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa.Kombe hilo hudhaminiwa na Kampuni ya TDL kupitia Kinywaji cha KONYAGI kila mwaka
No comments:
Post a Comment