header

nmb

nmb

Wednesday, September 28, 2011

WASIMAMIZI WA HAKI ZA WANYAMA MPO WAPI?

Mganga wa Kienyeji Maarufu kama Dr Manyaunyau.
Vijana hawa wakiwa Bara barani wakimzungusha huyu Mnyama aina ya Paka, kwa akili zao wakiamini wamemshika mchawi na wameamua kumsulubisha.
Vitendo hivi vya kikatili kwa wanyama vimekuwa vikiendelea mara kwa mara hasa katika maeneo ambayo yana mrundikano wa makazi ya watu, na hata vingine vikionyeshwa kwenye luninga zetu lakini wahusika wa haki za wanyama wakivitazama tu vikiendelea bila kuvikemea wala kuwachukulia hatua wale wote wanaoshiriki kufanya vitendo hivi.
Kwa mataifa ya wenzetu ni lazima upate hukumu ya kifungo kwa kufanya vitendo hivi.


No comments:

Post a Comment