header

nmb

nmb

Monday, September 12, 2011

HATIMAYE LUGHA GONGANA KATIKA MLANGO WA KUINGIA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA YATOWEKA!

Hapa ndio palee!! ambapo paliandikwa Lugha gongana panavyoonekana kwa sasa.
Hii ndio picha iliyotolewa kabla ya wadau wa uwanja kuyafuta maandishi haya, kama panavyoonekana kwenye picha ya kwanza.
KAPINGAZ Blog inawapongeza sana wahusika wa Uwanja wa ndege wa Kigoma kwa kulifanyia kazi tatizo hili la "LUGHA GONGANA" ingawa ingekua vema kama wangeandika tena yakiwa yamerekebishwa.

No comments:

Post a Comment