header

nmb

nmb

Thursday, September 8, 2011

ANGALIZO ZURI BARABARANI - PLEASE WAIT........

Madereva wote kama wataliheshimu hili angalizo basi ajali zinazotokea kwa kuovertake Hovyo Hovyoo!! zitakwisha, samahani wadau na mi nimetumia kiswanglish kidogo ili ujumbe wangu ufike. Ni vema angalizo hili likaandikwa nyuma ya Maroli yote pamoja na Mabasi yote yanayofsafiri safari ndefu.

No comments:

Post a Comment