
Baadhi ya Majambazi walio pigwa Risasi wakiwa katika harakati za kutaka kuiba pesa jijini Mwanza hivi karibuni. Majambazi hayo yalinaswa na Bunduki 3 na Bastola 2

Kamanda wa Jiji la Mwanza Saimon Siro akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu tukio hilo
No comments:
Post a Comment