header

nmb

nmb

Thursday, April 21, 2011

Nashukuru kwa Sala zenu wadau, Nimeenda Jiji la Kandoro na Kurudi jiji lisilo na mwenyewe Salama.!

Warembo walionipokea katika jiji la Mwanza na kulinda maisha yangu katika moja ya hoteli huko

Wakati tuna rudi Dar Mambo ya Kuchimba Dawa tena
Nilivuka kwemda Nansio katika Bandari ya Mwanza

No comments:

Post a Comment