header

nmb

nmb

Saturday, October 2, 2010

PINDA ANOGESHA SIKU YA WAZEE MOROGORO!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia katika sherehe za siku ya wazee duniani zilizofanyika kitaifa Mjini Morogoro, Oktoba 1, 2010. Kulia ni Naibu Waziri wa Kazi Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk. Makongoro Mahanga na wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Luteni Kanali MstaafuIssa Mchibya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment