header

nmb

nmb

Thursday, September 30, 2010

TGNP YAANDAA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO WANA HABARI KULIPOTI HABARI ZA WANAWAKE WA PEMBEZONI!!


Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Bi. Anne Kikwa akifungua mkutato huo leo katika ofisi za TGNP Mabibo

Mwezeshaji wa semina hiyo Bi Kenny Ngomuo akifafanua jambo

Mtoa mada katika Semina hiyo ya siku mbili Bi.Lilian Liundi akitoa mada
Hii ni ripoti ya Kikundi Kilichokuwa kikiongozwa na Mwanyekiti wa blog hii Bw Spear Patrick iliyo andaliwa kwa miezi 6 kuhusu wanawake wa Majumbani(Pembezoni) ambayo itawakilishwa kesho katika Semina hiyo. Kwa mujibu wa semina hiyo kulikuwa na Vikundi zaidi ya Saba ambavyo vyote vilipewa mada yake na kesho ndio siku ya kuzikamilisha.Baadhi ya wanahabari wakimpashia mmoja wa wana senmina ambaye alistahili kupashiwa


No comments:

Post a Comment