
Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo Mh Joel Bendera akimkabidhi nahodha wa timu ya taifa Sophia Mwasikile bendela ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na cd ya wimbo wa Taifa ,Timu hiyo inaondoka kesho kwenda Gaborone Botswana kucheza mechi ya kirafiki na botswana na baadae kuelekea nchini Afrika kusini kushiriki michuano ya mataifa ya
Afrika ya wanawake yanayoanza mwezi ujao mwaka huu. Picha kwa hisani ya Michuzijunior.blog
Meneja bidhaa wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) Dada Nandi Mwiyombela akiwakabidhi viongozi wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Twiga Stars mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni
97,13,500 ambazo zimetolewa na kampun hiyo kwa ajili ya
No comments:
Post a Comment