HATIMAYE sakata la mshambuliaji wa MANCHESTER UNITED, WAYNE ROONEY la kutaka kuihama timu hiyo limemalizika baada ya kukubali na kusaini mktaba wa kuichezea timu hiyo kwa miaka MITANO.
Uamuzi wa ROONEY umekuja siku chache baada ya kusema anayo nia ya kuachana na MANCHESTER UNITED.
Kocha wa MANCHESTER UNITED, ALEX FERGUSON, amesema kitendo cha ROONEY kukubali kusaini mkataba huo ni furaha kwake.
Huku ROONEY naye akibaibnisha furaha yake ya kusaini mkataba huo na kubakia katika timu hiyo na kwamba amesaini mkataba huo akiwa na malengo kuwa klabu ya MANCHESTER UNITED itatekeleza masuala WALIYO KUBALIANA.blog ya jahen Johon,BBC
No comments:
Post a Comment