header

nmb

nmb

Friday, October 22, 2010

ALBINO TANDA HIMBA WAFARIJIKA KUTETA NA MGOMBEA URAIS CCM!


Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hamza Jamali(10) ambaye ni mlemavu wa ngozi, wakati alipowasili katika uwanja wa michezo wa mjini Tandahimba na kuhutubia katika mkutano mkubwa wa Kampeni mjini hapo leo mchana (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment